NECTA - LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 1st SELECTION

Ministry of education in tanzania - FORM FIVE SELECTED STUDENTS

SELECTION KIDATO CHA TANO 2017 - FORM FIVE SELECTION 2017
SELECTION KIDATO CHA TANO

 

Post za kidato cha tano 2016/2017, selection kidato cha tano 2016/2017, form five.

majina ya waliochaguliwa kidato cha tano 2017 - Are Out!

 

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2017/2018

 

FORM FIVE SELECTION 2016/2017

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2016/2017 Sasa yametoka

WALIOCHAGULIWA FORM FIVE 2016 - Yametolewa Rasmi

OWM - TAMISEMI - MATOKEO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO (FORM FIVE SELECTION) 2016/2017 ...... New Updates

SELECTION ZA  KIDATO CHA TANO KWA MWAKA 2016/2017 ..... Newly Updated

OWM - TAMISEMI - MATOKEO YA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO (FORM FIVE SELECTION) 2016/2017

LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 1ST SELECTION - Are out!



HOW DO TOP STUDENTS STUDY? 




HOW TO BECOME A SUCCESSFUL STUDENT 

 

Pata Matokeo Yote Ya Mitihani - One Spot For All The Examination Results New Updates (Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne)

 

SELECTION KIDATO CHA TANO 2015/2016, SELECTION FORM FIVE 2015/2016 Updated, LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2015/2016.

 

BREAKING NEWS>> Form Five selection 2017/2018

 

HOW TO GET READY FOR YOUR EXAMS

 

KUANGALIA MAJINA KWA KILA KITUO ULICHOFANYIA MTIHANI PAMOJA NA JOINING INSTRUCTIONS.

1. FORM FIVE THIRD SELECTION 2017 - ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZIWALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA TATU (THIRDSELECTION) KWA MWAKA 2017


2. SELECTION FORM FIVE 2017/2018 - Are out - New Updates!


3. FORM FIVE SELECTION 2017/2018 - JOINING INSTRUCTION 2017/2018 - New Updates 

 

4. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2016/2017

 

5. FORM FIVE SELECTION 2016/2017 - JOINING INSTRUCTIONS

 

6. DOWNLOAD MAJINA YOTE HAPA SELECTION FORM FIVE 2015/2016

 

7. HESLB - HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD - ONLINE LOAN APPLICATION  2016/2017

 

8. TIMETABLE & NOTICE TO CSEE CANDIDATES 2016

 

 

OTHER UPDATES

NACTE SELECTION FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 - New Updates 

 

PAST PAPERS FOR RIVISION / Form two past papers, Form four past paper, From six past papers (Rivision Made Simple)

 

NECTA CSEE - MATHEMATICS QUESTIONS & ANSWERS - For Revision - New Updates

 

TOP 10 SECONDARY SCHOOLS IN TANZANIA - New Updates

 

NAFASI ZA KAZI/AJIRA KWA WALIMU WA SAYANSI NA HISABATI - New Updates

  

TCU - Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/2018 Academic Year - New Updates

 

ACSEE 2017 TIMETABLE

 

Message of hope to young people - Once you begin that walk, others will find you and walk with you...

 

NACTE SECOND SELECTION 2016/2017 PUBLIC NOTICE.

 

NACTE THIRD SELECTION 2016/2017 PUBLIC NOTICE.

 

JOINING INSTRUCTIONS VYUO VYA UALIMU 2016/2017


Form five posts 2016/2017, Form Five Selection 2016/2017,  NECTA 2016 selection post, post form five, post form five 2016, necta selection form five 2016/2017.
FORM FIVE SELECTION 2017 - SELECTION KIDATO CHA TANO
form five selection 2017


HOW TO READ AND STUDY TEXTBOOKS


TAARIFA KWA UMMA 2016

24-JUNI-2016. 
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana 20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana 15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2016 pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz


Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI

Tumia link hii kupata matokeo Waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016


 

6 TOP SECRETS TO IMPROVE YOUR MEMORY

 

Form Six Exams - ACSEE PAST PAPERS - (Revision Made Simple) 

 

NACTE - Admission into Certificate, Diploma & Higher Diploma for academic year 2016/2017

 

NACTE - SABABU ZA KUTOKUCHAGULIWA KWA BAADHI YA WALIOOMBA KUDAHILIWA KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 

 

 

THE POWER OF BODY LANGUAGE IN COMMUNICATION

 

TAARIFA KWA UMMA 2015

OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (FORM FIVE SELECTION) 2015/2016 na Vyuo vya Ufundi, Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali.

Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.

 
Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana 18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana 13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na Biashara.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano
(FORM FIVE SELECTION)  2015/2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa nafursa ya mabadiliko yoyote ya shule. 
 
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho yakuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano
(FORM FIVE SELECTION) 2015/2016  na Vyuo vya Ufundi   inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
ya www.pmoralg.go.tz

Imetolewa na Katibu Mkuu,

WHAT ARE THE HEALTH BENEFITS OF EATING RAW?


HUMAN Perception


LIST OF FORM FIVE SELECTED STUDENTS FOR THE ACADEMIC YEAR 2016/2017 1ST SELECTIONAre now out!

OWM-TAMISEMI-Matokeo ya Kujiunga na Kidato Cha Tano 2016 - Form five selection this year, Ministry of Education and Vocational Training (MOE) Form Five Selection, Form Five Selection Criteria, Form five selection method, Form five selection Tanzania, Uchaguzi wa kujiunga na kidato cha tano 2015/2016, Matokeo ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2015/2016.


TAHASUSI ZILIZOPO     IDADI YA WANAFUNZI
PCB8402
HGL8112
CBG7920
PCM6438
HKL6321
HGK5797
EGM4178
HGE3755
PGM1567
ECA1143
CBA544
CBN218
KLF131
LAB69
TEL53
CIV52
ELE50
MEC44
CPT36
HWE27
AUT20
WS19
ARC17
WQT16
WRIT16
HY16
HG16
BEE15
MINE14
JUMLA KUU55006

 

ORODHA YA MAJINA YA WALIONGIA KIDATO CHA TANO 2017/2018, kupangiwa shule kwa wanafunzi wa A level 2017/2018.